Sunday, November 6, 2011

Maziwa original ya SMA nitayapata wapi?

Dada am so happy kupata hii blog nahisi inaweza ikanisaidia. Mimi nimejifungua hii ni week ya pili sasa maziwa yangu yamekuwa hayatoki vizuri, nahisi mtoto hashibi. Kuna watu wamenishauri nitumie maziwa ya SMA. Naskia yapo mengi ila pia kuna mengine ambayo ni fake. pliz nisaidie kama kuna mtu anayejua wapi nitapata original pliz naomba msaada wenu tafadhari,

2 comments:

  1. duu pole dada sea mi ushamba wangu sijui hata ni maziwa yakoje nasikia tuu good luck

    ReplyDelete
  2. ni mazuri sana sema mimi mwanangu bado anavuta nyonyo kwaza msaidieni mwezetu wanaojua lol wapi mazuri

    ReplyDelete